ok
WEMA: SIKUTEGEMEA NINGEMFUMA JOKATE NA MCHUMBA WANGU
Kwa story za juu juu nilizozipata ni kuwa wakati Diamond akishoot video ya mawazo na mwanadafada Jokate, walifanya ile kitu ya amri ya sita tulionyimwa mpaka tuoe na kuolewa, na wema sepetu aliwafuma wakilana denda live katika eneo hilo...sina uhakika zaidi lakini haya ni maneno na sauti ya wema akiongelea swala hilo
Monday, December 12, 2011
NIGGA TOKA JAMBO SQUAD AWAPA NAFASI VATOLOCO THE RED KU-NGASTUKA
Mtoto wa bibi a.k.a. chalii chaplin a.k.a. mong'oo inchaji vema zaidi kama niggaC toka Jambo squadere sedere bidengere biae full papi haina manjota kwa fas mpaka mbulu kwa mama lulu tam kk mtori sio chungu ka ngorotii anakam tena round ii kwa kishindo na machiz wa vatoloco the red a.k.a ka kang kang!..ndani ya remix version ya track ya "ngastuka" ambayo imerekodiwa chini ya producer dx a.k.a defxtro pande za noizmekah.com arusha,'Humu ndani kama kawaida 2mewachana maraia viongozi wa nchi wanaofisidi na kutuuza asee,ni full machungu na hatuachi kuwalalamikia mpaka mabadiliko ya ukweli yaje!ooooooooooooooiiii
BABRON AZUNGUMZIA "YA MOYO"
Msanii toka pande za Namanga Border anayejulikana kama babron anaefanya muziki wa RNB na crunk,anazungumzia mapenz na machungu yake katika track hii mpya alorekodi pande za noizmekah.com chini ya defxtro,Project zingine zitafata baadae kidogo,shukrani nyingi ziende kwa mashabiki zangu kote nchini na media zinazosapoti mziki wangu...
Sunday, December 11, 2011
Saturday, December 10, 2011
Friday, December 9, 2011
SHEREHE ZA KUUKARISHA MWAKA WA HAMSINI WA UHURU WA TANZANIA NDANI YA MJENGONI
watoto wa marehemu Remy Ongala kutoka kulia ni Aziza Ongala, Jesca Ongala na Thomas Ongala nikifanya mahojiano nao.
kutoka kushoto ni Dina Marios, Shadee na Asma Makau
Ray na Loveness
Mkuu wa vipindi, CloudsFM , Sebastian Maganga na mtayarishaji wa kipindi cha Power breakfast Jimmy Jams
Kwenye mashine ni Dj Zero
Sharon kulia na rafiki
mimi na Sheba Kusaga
Barbara Hassan na rafiki
ilipotia saa sita ya usiku
kitu cha hakunaga kiliwakilisha
Msanii Ben Paul akiwa na kaka yake
Clouds tean kutoka kushoto ni Clara, Sophia Kessy, Jackline Kombe na Dataz
Stoppa nae alitia tim
Weusiiiii
msosi time ulipofika
Bob jr
Timu nyingine ya Clouds wakifatilia matangazo live kupitia kwenye luninga
thats ma friend Muna
B 12 na Maulanga
Mama Johny kulia, Dataz na Shadee
Thursday, December 8, 2011
VIBAKA WAMFANYIA KITU MBAYA DIAMOND
Jana usiku mkali akitoka katika mishe mishe zake, Diamond alipaki gari nje ya nyumba yake, asubuhi kuamka akakuta wenye mali zao washaondoka na power windo zote, radio, system ya AC, pamoja na begi lililokuwa na nguo kibao, cheni za gold pamoja na saa kibao kibao tu ambazo alikua akizitumia katika shooting ya video ya mawazo.
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home