NIHAYO TU KUTOKA PANDE HIZI ZA TZ.
WAZIRI SITA ASEMA ATAENDELEA NA MAPAMBANO DHIDI YA VIONGOZI MAFISADI
Spika wa Bunge Mstaafu na Waziri wa Afrika Mashariki SAMUEL SITTA amesema ataendelea na mapambano dhidi ya Mafisadi na viongozi wenye tamaa ya fedha ambao wamekuwa wakitafuta madaraka kwa manufaa
Waziri mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda ameshauri kuwepo na siku ya maonyesho ya bidhaa za ndani
Waziri mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda ameshauri kuwepo na siku ya maonyesho ya bidhaa za ndani, ili kutoa fursa kwa wakulima na wajasiriamali kuonysha bidhaa zao na hivyo kuongeza wigo wa
TANZANIA KUKAGUA BIDHAA KATIKA NCHI ZITOKAZO KABLA YA KUINGIA NCHINI
Serikali kwa kushirikiana na shirika la viwango nchini imeanzisha mpango wakukagua bidhaa katika nchi zinazotengenezwa kabla hazijaingia nchini kitendo ambacho kitasaidia kupunguza uinguizaji wa bidhaa za bandia nchini na kupunguza
MIAKA 50 YA UHURU WETU CLOUDS YA JUMUIKA NA WANA FAMILIA KUSHEREHEKEA
VIJANA WAKIJIACHIA DJ 0 AKIKAMUA JOE MAKINI AKITOA SHOW NA KUMUACHA MZEE MROPE HOI KW ABURUDANI MJENGONI BABRA PICHANI CHINI AKIWA KATIKA MKAKATI WAKUHAKIKISHA WAGENI WANAKULA HAPO VIJANA WAKIBURUDIKA VIJANA WAKIJADILI MAMBO MBALI MBALI NA
WATU tisa wamekufa katika ajali mbili tofauti zilizohusisha mabasi ya abiria katika mikoa ya Shinyanga na Mbeya huku wengine 44 wakijeruhiwa. Ajali ya kwanza ilitokea jana saa 12 asubuhi katika
HAPPY BIRTHDAY CLOUDS FM ALWAYS NAMBA ONE
mapokezi mjengoni mwanamuziki Shem karenga akionge ana sakina lioka live katika leo tena ya miaka 12 ya clouds fm piter msechu live ndani ya mjengo hawa ni viongozi wakikundi cha washereheshaji nao waliungana
SHAMRA SHAMRA ZA BIRTHDAY YA CLOUDS FM LIVE ON CLOUDS TV
DOGO DITO AKIOMBA DUA YA KUMUOMBEA MWENZENTU NA MWANAMUZIKI MR EBBO ALIEFARIKI DUNIA ALFAJIRI LEO NA KUTOA DAKIKA MOJA YA HESHIMA KWA UKIMYA KABISA YOTE HAYO YAMEFANYIKA LIVE ON TV DOGO
CLOUDS FM RADIO YA WATU YATIMIZA MIAKA 12 TOKA KUANZISHWA KWAKE.
NI MIAKA 12 YA BURUDANI TUNAWASHUKURU WADAU WOTE NA WANAFAMILIA WA CLOUDS MEDA GROUP KWA SUPORT ZENU DAIMA TUTAENDELEA KUWA NANYI PAMOJA CLOUDS FM RADIO YA WATU. BURUDANI JADI YETU
Shamra shamra za miaka 50 ya Uhuru hapa clouds FM Radio ya watu zinaendelea hadi kufikia tarehe 9 Decemba, na hii ni wiki ya waburudishaji na matukio 50 ya kiburudani…
Shamra shamra za miaka 50 ya Uhuru hapa clouds FM Radio ya watu zinaendelea hadi kufikia tarehe 9 Decemba, na hii ni wiki ya waburudishaji na matukio 50 ya kiburudani... Katika
TAMASHA LA STR8T INTER-COLLAGE FESTIVAL 2011 ILIKUWA NI MSHIKE MSHIKE
MTUMZIMA AKIWAKILISHA TAMASHA LA STR8T INTER-COLLAGE FESTIVAL 2011 AFANDE SELE NDANI YA TAMASHA LA STR8T INTER-COLLAGE FESTIVAL 2011 WAREMBO KIBAO WAKIBURUDIKA NDANI YA TAMASHA LA STR8T INTER-COLLAGE FESTIVAL 2011
JUMAAMOSI HII PALE LEADERS CLUB.KILELE CHA WIKI YA WABURUDISHAJI USIKOSE
SHAMRA SHAMRA ZA MIAKA 50 YA UHURU ZINAENDELEA HAPA CLOUDS FM RADIO YA WATU ..... HADI KUFIKIA TAREHE 9 DISEMBA NA HII NI WIKI YA WABURUDISHAJI NA MATUKIO 50 YA
Wiki ya Waburudishaji na Matukio 50 ya Kiburudani.. Katika XXL tunapenda kutambua mchango wa Jembe.
Shamra shamra za Miaka 50 ya Uhuru zinaendelea hapa Clouds Fm Radio ya watu na Hii ni Wiki ya Waburudishaji na Matukio 50 ya Kiburudani.. Katika XXL tunapenda kutambua mchango
Shamra shamra za Miaka 50 ya Uhuru zinaendelea hapa Clouds Fm Radio ya watu na Hii ni Wiki ya Waburudishaji, Wawezeshaji wa burudani na Matukio ya kiburudani inayoanza Rasmi leo.
Shamra shamra za Miaka 50 ya Uhuru zinaendelea hapa Clouds Fm Radio ya watu na Hii ni Wiki ya Waburudishaji, Wawezeshaji wa burudani na Matukio ya kiburudani inayoanza Rasmi leo. Katika
Shamra shamra za Miaka 50 ya Uhuru zinaendelea hapa Clouds Fm Radio ya watu na Hii ni Wiki ya Waburudishaji
Shamra shamra za Miaka 50 ya Uhuru zinaendelea hapa Clouds Fm Radio ya watu na Hii ni Wiki ya Waburudishaji,Wawezeshaji wa burudani na Matukio 50 ya burudani inayoanza Rasmi leo.
Sherehe za Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania, Ujerumani
WATANZANIA WANAOISHI UJERUMANI ! WAANZA KWA KASI! KUSHEREKEA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA Miaka ya 50 ya uhuru wa Tanzania bara,kusherekewa kwa Kishindo Ujerumani ! Sherehe ambazo zitaambatana na ufunguzi wa Umoja
PB LIVE KESHO KUTOKA DODOMA NA WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
MWAKA 1961 Tanzania ilikuwa na chuo kikuu kimoja tu,, Chuo kikuu cha Dar es salaam tofauti na ilivyo hivi sasa ambapo idadi imeongezeka zaidi. Kwenye Mwendelezo wa matukio 50 ya
FAMILIA YA CLOUDS FM WALIPOUNGANA KUCHANGIA DAMU KATIKA MATUKIO 50 YA KITABIBU YALIOFANYIKA.
CLOUDSFM WIKI ILIOPITA MATUKIO YA KITABIBU.LEO JUMA TANO BAADHI ya makundi katika jamii yetu ambayo yanahitaji kuongezewa damu mara kwa mara ni pamoja na Watoto chini ya miaka mitano, majeruhi
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home